Share this Post

dailyvideo

Mkutano Wa Tisa Wa Sullivan Wamalizika Jijini Malabo, Equatorial Guinea



Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini  wakifuatilia kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial Guinea.

                                        Picha na Pascal Shelutete

Posted by Editor on 16:50. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Mkutano Wa Tisa Wa Sullivan Wamalizika Jijini Malabo, Equatorial Guinea

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery