VIDEO: Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7 Basil Mramba amedai msamaha wa kodi uliotolewa na serikali kwa kampuni ya Alex Stewart ulitolewa kulingana na mkataba wenyewe na kudai kuwa mkataba ulikuwa kati ya benki kuu na kampuni hiyo
Posted by Editor
on 09:01.
Filed under
eastafricannews
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0