HATIMAYE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA YATANGAZWA RASMI
Kutoka
kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha
Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa Meneja wa Mahusiano OXFAM,
Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB
pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati
wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama
Shujaa wa Chakula leo.
Afisa
Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally
(Kipanya) akielezea Mchakato mzima wa kazi ilivyokuwa kabla , wakati wa
kuwatafuta washiriki wa Maisha Plus/Mama Shujaa wa Chakula na kutaja
rasmi majina ya waliochaguliwa katika usahili huo.
Meneja wa Mahusiano OXFAM Sharon Mariwa akielezea utaratibu utakao
fuatia baada ya kutangazwa rasmi majina ya waliochaguliwa katika
shindano la Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula
Francis
Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB akitilia
mkazo baadhi ya mambo wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa
kuingia Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.
Afisa
Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally
(Kipanya) akijibu Maswali yaliyo ulizwa na waandishi wa Habari.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari na wadau Mbalimbali wakiwa wanasikiliza
kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa katika Shindano la Maisha Plus/
Mama Shujaa wa Chakula.
*************
Majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa
Mama Shujaa wa Chakula / Maisha Plus 2014.
Usaili:
Mama Shujaa watapigiwa kura mtandaoni ili kupata washiriki
20 ambao wataingia kijijini Maisha Plus. Zoezi la kuwapigia kura litafanyika
baada ya uhakiki ‘verification’ pamoja na upigaji picha kuthibitisha taarifa
walizojaza kwenye fomu.
Kauli mbiu
ya Mwaka huu ni Wekeza kwa wakulima
wadogo wanawake. INALIPA.
Vijana wa Maisha Plus watagawanywa katika makundi
mawili ya watu 20 na kupelekwa katika vijiji vilivyochaguliwa Iringa na
Zanzibar, huko wataishi pamoja na familia zilizochaguliwa na kutakiwa kuishi
maisha sawa na familia hizo. Zoezi kuu litakuwa kusaidia kutatua changamoto
zinazowakabili wakazi wa vijiji hivyo kama changamoto za maji, n.k.
Baada ya
siku 7 wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura vijana hao ili kupata jumla ya
vijana 18 watakaopelekwa katika kijiji cha Maisha Plus kuungana na wenzao 12
kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Kauli mbiu
ya Mwaka huu ni Maisha Plus REKEBISHA.
Majina
Mama Shujaa wa Chakula
- Amina Kupela Chikaponya – Mtwara
- Anna James Yuda – Morogoro
- Anna Mwanilyela Chrisant – Katavi
- Bahati Muriga –Mwanza
- Clara Ancilla Ibihya – Pwani
- Cristina Kurwa Malale – Zanzibar
- Dina Rusoti – Mara
- Dionisia Rashidi Karata – Tanga
- Doricus Msafiri Shumbi – Singida
- Edina Jamas – Mbeya
- Elinuru Moses Pallangyo – Arusha
- Elizabeth Matayo – Geita
- Elizabeth Simon – Morogoro
- Ezeleda Chedego – Dodoma
- Fredina M. Said – Shinyanga
- Gladness Ebenezery Mmary – Kilimanjaro
- Grace G.D. Mahumbuka – Kagera
- Janeth Niima – Manyara
- Kuruthumu Ramadhani Mwengele – Tanga
- Leah Dominick Mnyambugwe – Dodoma
- Mary Athanaz Ndasi – Rukwa
- Mary John Mwanga – Singida
- Mary Kessy – Dar es salaam
- Neema Robert – Simiyu
- Nyachum Haji Ame – Zanzibar
- Pendo Musa – Morogoro
- Santina Mapile – Njombe
- Thereza Kitinga – Mwanza
- Zaituni Shedrack Kalenbi – Kigoma
- Zamda Daniely Mgonganga – Iringa
Vijana wa Maisha Plus
- Adolph Anacleth - Mwanza
- Agatha Kalesu – Rukwa
- Ally Thabit - Mwanza
- Anastazia John – Mara
- Asumta Mwingira – Dar es salaam
- Ausi Abdul Moyo – Ruvuma
- Bakari Khalid – Shinyanga
- Boniphace Meng’anyi Nyankena – Dar es salaam
- Charles Daniel – Simiyu
- Douglas Said Msalu - Arusha
- Ellymathew Kika – Njombe
- Elizabeth Joachim - Tabora
- Fahamni Kaite Mwadini – Zanzibar
- Farida Ally – Pwani
- Fadhili Isanga - Kilimanjaro
- Flora John - Singida
- Frederick Joseph Ndahani – Singida
- Hyasinta T. Hokororo - Mtwara
- Jane Julio Kalinga – Iringa
- John Sylvester Malima - Geita
- Joyce Jacob Mushy - Arusha
- Marriam Mosses - Shinyanga
- Mary Nicholaus Kavishe – Manyara
- Mbonimpaye N. Nkoronko – Rukwa
- Mohammed Selemani Lipemba - Lindi
- Moureene K. Daud - Kagera
- Nelson Daniel – Dar es salaam
- Ngoma Abdallah – Kigoma
- Osama Norman – Mbeya
- Otilia Selestin Simime - Mbeya
- Said Salum – Katavi
- Salumu Saidi Johari – Mtwara
- Scholastica Deusidedith – Geita
- Seif Mohamed Salum - Tabora
- Shaaban Masoud Shaaban – Zanzibar
- Shida Keneth Mganga – Dodoma
- Shishira G. Mnzava - Morogoro
- Thomas P. Mgazwa – Dodoma
- Yassini Hamisi Suddi – Dar es salaam
- Zaharani Yusuph Hossen – Tanga
Taarifa zaidi Tembelea : www.maishaplus.tv
Posted by Editor
on 19:18.
Filed under
entertainmentnews,
feature
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0