MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA YA KASKAZIN, JIJINI KAMPALA UGANDA
Wakuu
wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki,
kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa
Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika jana kwenye Hoteli ya
Speke Resort Munyonyo jijini Kampala Uganda, ambapo Tanzania imeshiriki Mkutano huo kama Mwalikwa. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Picha na OMR
Rais wa Uganda
Yoweri Museven, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa
wakuu wa Nchi wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini. Umoja huo
unaundwa na nchi za Uganda, Kenya, Rwanda na Sudan Kusini,Tanzania na
Burundi zimeshiriki mkutano huo kama nchi waalikwa ambao pamoja na mambo
megine waliyojadili ni kukamilisha miradi mbalimbali inayofanywa kwa
pamoja na ushirikiano huo. Picha na OMRBaadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa kwenye mkutano Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) na Rais wa Burundi Gervas Rufykiri, wakitia saini kushiriki katika mkutano huo. Picha na OMR Makamu wa Rais Dkt Bilal (katikati) akizungumza na Rais wa Uganda Yower Museven (kulia) baada ya Mkutano huo. Picha na OMR
Posted by Editor
on 17:14.
Filed under
eastafricannews
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0