RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince
Charles wakati wa mkutano uliojadili vita dhidi ya biashara haramu ya
wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo
uliandaliwa na Prince Charles.
(picha kwa hisani ya Clarence House)
Posted by Editor
on 09:33.
Filed under
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0