MAKUBWA HAYA: JAMAA MWENYE UMRI WA MIAKA 47, AFUKUA KABURI NA KUFUMUA JENEZA KISHA KUTAKA KUFANYA MAPENZI NA MAITI YA BINTI HUYO ALIYEKUWA NA MIAKA 17.
Ni habari ya kusisimua ambapo jamaa alikuwa ameamua kufuakua kaburi la msichana mwenye miaka 17, kwa nia ya kufanya nae mapenzi, alishikiliwa na Polisi Baada ya kukutwa amelala juu ya Jeneza hilo huko Cambodia imethibitishwa
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 47 aliyefahamika kwa jina la Chin Chean alikamatwa na wanakijiji baada kupatikana amefukua kabuli la binti, huku mwili huo wa marehemu ukiwa umeachwa wazi ndani ya jeneza hilo.
Chin Chien alilileleza Jeshi la Polisi kuwa alianza kuchimba kaburi hilo majira ya saa nne usiku , ikiwa ni siku moja baada ya kufanyika mazishi hayo ya binti huyo aliyekuwa na umri wa miaka 17
Jamaa huyo aliendelea kuchimba kaburi hilo hadi kufikia jeneza hilo na kufanikiwa kulifungua
Baada ya kumaliza kufukua na kufungua jeneza hilo jamaa huyo aliiambia polisi kwamba alifungua jeneza hilo na kutaka kufanya mapenzi na marehemu huyo akiwa katika Jeneza, lakini kutokana na udogo na ufinyu wa nafasi wa Jeneza hilo ilishindikana kwa yeye kufanya kitendo hicho.
Na baada ya kushindwa kufanya aliamua alale juu ya Jeneza huku likiwa wazi.
Wakizungumza wanakijiji walidai kwamba waliona Miguu ya Bwana Chean katika kaburi hilo mida ya saa kumi na mbili asubuhi na kuamua kuipa taarifa familia yake , walisema polisi
"Tunashindwa kuelewa kabisa kama huyu jamaa hapa kijijini alikuwa akimfahamu huyu Marehemu hata kabla hajafariki na kisha kuamua kufanya kitendo hiki" aliogea bwana Vutha
Lakini aliongeza kwa kusema kwamba Anamfahamu Bwana Chin Chean kuwa ni Mbwia unga na hufanya matendo ya ajabu ajabu, ambapo kuna siku alishawahi kutembea maeneo ya Pagoda akiwa mtupu bila nguo.
"kutokana na hili jambo, tutaenda kumuhoji zaidi bwana Chean katika kituo cha Polisi cha Wilaya kabla hatujampeleka Mahakamani.
‘