WACHEZAJI WAWILI WA UJERUMANI WATAKAOCHEZA KOMBE LA DUNIA WAPATA AJALI
wamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia.
Mwathiriwa moja anauguza majeraha mabaya .
Hoewedes na Draxler ni wachezaji wa timu ya Schalke 04 walioitwa katika timu ya taifa.
Wenyeji wao kampuni ya Mercedes-Benz imetoa taarifa kusema kuwa itashirikiana na maafisa wa polisi kutathmini kilichotokea .
Timu hiyo ya Ujerumani inatarajiwa kuendelea na kambi ya mazoezi katika mji wa Tyrol Kusini mwa Italia hadi juni mosi. .
BBC SWAHILI
