LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA JIONEE HAPA
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu,
uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele
zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya
saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia
wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.
kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?

