WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKI MCHEZO WA KUBAHATISHA WA TATU MZUKA.
Balozi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mc Ray Maharufu kama Chikunde akizungumza juu ya yeye kuhusishwa na kampuni inayoendesha mchezo huo wa Tatu Mzuka.
Kiongozi kutoka Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mudy B akizungumza na Waandishi wa habari namna ya kushiriki kupitia simu zetu za Mkononi.
