CHENI ASEMA: SIWEZI KUMTENGA LULU
Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’.
Na Hamida Hassan
STAA wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ hivi karibuni alifunguka kuwa hawezi kumtenga msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Steven Kanumba kwa vile yeye ndiye aliyemuingiza katika tasnia ya filamu akiwa mdogo.
Akipiga stori na safu hii, Cheni alisema amekuwa karibu na familia ya msanii huyo toka mwanzo wa matatizo na hatakaa mbali mpaka atakapojua hatima yake.
Cheni alisema amekuwa akimtembelea Lulu kila Jumapili na kila mama yake anapohitaji msaada huwa yuko mstari wa mbele kumsaidia.
Mbali na hayo msanii huyo alisema anawaomba Watanzania wasubiri hitimisho la mahakama wasimuhukumu na kumchukia kabla ya kujua ukweli
Hata hivyo, Cheni alisema anamkumbuka…
HABARI NA GPL
Posted by majaribio
on 14:32.
Filed under
celebritiesnews,
feature,
gallery
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0