Share this Post

dailyvideo

Breaking Nuuuuuuz: Maiti 22 za Wasomali walio fariki hivi karibuni zinazikwa sasa Morogoro

 Miili ya Wasomali hao ikiwa inashushwa jwa ajili ya kuzika
 Shughuli za Mazishi zimeanza 

Haya ndiyo makaburi yanapo zikwa

Miili 22 ya Wasomali waliokuwa wakati wakisafiri kutoka nchini Ethiopia kwenda nchi za Malawi na Afrika kusini kwa lengo la kusaka maisha bora wamezikwa kuzikwa kwenye makaburi ya kola mkoani Morogoro.
Miili mingine 22 imezikwa mkoani Dodoma.
Picha zote na  Mpiga picha maalum wa This Day magazine

Posted by Editor on 18:22. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Breaking Nuuuuuuz: Maiti 22 za Wasomali walio fariki hivi karibuni zinazikwa sasa Morogoro

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery