DIAMOND AMSHUKURU WEMA 'LIVE' KUMFUNZA KIINGEREZA
Diamond na Wema enzi za penzi la shatashata, ambalo sasa limebaki historia
Kwa hisani ya Bongostarz.blog
MWANAMUZIKI nyota
Tanzania, Diamond amesema kwamba kufanya kwake vizuri katika mahojiano
aliyofanyiwa Kiingereza kwenye jumba la Big Brother Jumapili nchini
Afrika Kusini, kulitokana na mafunzo mazuri ya kuzungumza lugha hiyo,
aliyopewa na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu.
Diamond ameyasema
hayo leo mchana katika kipindi cha XXL cha Clouds Radio- baada ya
kuulizwa siri ya kujiamini kwake kuzungumza vema Kiingereza bila kitete
alipokuwa akihojiwa BBA.
"Namshukuru sana
mama yangu mzazi aliyenisomesha, lakini pia namshukuru Wema Sepetu
English Course, kwa kweli alinisaidia sana wakati nipo naye kunifundisha
kuzungumza Kiingereza kwa kujiamini,"alisema Diamond.
Diamond anakuwa
msanii wa pili kuzungumza hadharani kunufaika na lugha ya Kiingereza
kutoka kwa Wema, baada ya marehemu Steven Kanumba naye kuwahi kusema
hapo awali, alisaidiwa mno na Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 kunyoosha
lugha huyo.

mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.diamond now ameanza kukua kwa kujielewa na kujitambua.wema is so innocent,was truly in lov kuliko hata huyo kidoti.na siyo kila siku kumponda tu,ila alicozungumza now angalau ni positiv,anajijengea heshima kwa washabiki wake.gud for yu diamond,we lov only yu and wema.