‘EVANS BUKUKU COMEDY CLUB’ YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI JIJINI DAR
Mchekeshaji maarufu kwa sasa jijini Dar es Salaam Evans Bukuku akiwaburudisha wapenzi wa Vuvuzela Entertainment katika shoo yake iliyofanyika Nyumbani Lounge.

Pichani Juu na Chini ni mashabiki wa ‘Evans Bukuku Show’ wakivunja mbavu kwa vicheko.


Mmoja wa wachekeshaji wa kundi hilo Dogo Pepe akiwa kazini.
Evance Bukuku akichat hili na lile na fans wa Show yake.
Evans Bukuku akishow love na baadhi ya mashabiki zake.
Picha zote kwahisani ya Mo Blog

