Share this Post

dailyvideo

Mshindi wa Redd's Miss Dodoma ni Lightness Michael


Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
 Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Redd's Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora


Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Shindano hilo.
Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

Posted by Editor on 22:55. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Mshindi wa Redd's Miss Dodoma ni Lightness Michael

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery