Share this Post

dailyvideo

Profesa maji marefu achafua hali ya hewa Bungeni Dodoma Jana





Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu (pichani), leo amesema bungeni kuwa kipigo alichopata Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka, kinastahili ili naye apate machungu wanayopata wagonjwa wengine mahospitalini.

Profesa Maji Marefu aliitoa kauli hiyo wakati akichangia hoja katika bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni Dodoma.

Kauli hiyo ilisababisha tafrani kidogo bungeni, ambapo  Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda  alilazimika kuingilia kati kumzuia Profesa Maji Marefu asiendelee kutoa kauli hiyo kwani jambo la madaktari bado liko mahakamani. 
Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog

Posted by Editor on 11:51. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Profesa maji marefu achafua hali ya hewa Bungeni Dodoma Jana

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery