Redds Miss Manyara 2012 ni Buya Ernesi
Mrembo wa Redds Miss Manyara 2012, Buya Ernest (katikati)akiwa na mshindi wa pili Dalina Sikawa(kushoto) na mshindi wa tatu,Lucy Stephano baada ya kutangazwa na usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa CCM mjini Babati
Kwa hisani ya MichuziBlog
Kwa hisani ya MichuziBlog





