Share this Post

dailyvideo

WAREMBO WATAKAO KUWEPO KATIKA SHINDANA LA MISS LEO


Aisha.

Amina.
Brenda.
Cecy.

HIZI NI BAADHI YA SURA  ZITAKAZOPANDA JUKWAANI USIKU WA LEO IJUMAA,  KATIKA SHINDANO LA 
MISS NYAMAGANA 2012. KATIKA UKUMBI WA GOLD CREST JIJINI MWANZA.
SHUGHULI NZIMA INASIMAMIWA NA STOPPERS ENTERTAINMENT.
BURUDANI ITATOLEWA NA LINAH, DITTO NA HAFSA KAZINJA.
MSHEHERESHAJI MKUU AU MC WA SHUGHULI NZIMA NI MASANJA MKANDAMIZAJI KUTOKA KUNDI LA ORIGINAL KOMEDI.

Posted by Editor on 08:52. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WAREMBO WATAKAO KUWEPO KATIKA SHINDANA LA MISS LEO

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery