Wimbo mpya wa bendi ya African Stars "Shamba la Twanga" , Pia yatangaza kikosi kipya

Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mango asubuhi hii wakati alipotangaza kikosi kamili cha bendi hiyo na wimbo mpya wa bendi hiyo leo, kushoto ni mwanamuziki wa bendi hiyo Saleh Kupaza.
Wanenguaji wa kike wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao mbele ya waandishi wa habari.
Rapa wa bendi hiyo J4 akifanya vitu vyake jukwaani huku wanenguaji wa kiume wa bendi hiyo wakitoa burudani mbele ya waandishi wa habari.
Songwriter: Greyson Semsekwa
Release date: 1st May 2012
Record Label: ASET (TWANGA PEPETA)
CHORUS:
(Twanga)
(Twanga)
Mbegu
ndiyo chanzo cha mti mzuri utoao matunda,

Tunda
linanunuliwa linaliwa msimu unapita,
linanunuliwa linaliwa msimu unapita,
Mti
uko pale pale na unatoa mengine,
usiuchezee eeeeh! usilichezee Pepeta,
uko pale pale na unatoa mengine,
usiuchezee eeeeh! usilichezee Pepeta,
baadhi
ya watu potofu, wanapenda kuchoma moto maeneo sehemu isiyohusika

Wanataka
tuishi jangwani, wadau muwe makini
tuishi jangwani, wadau muwe makini
Hawa
watu gani, wana nia gani, watatuweka sehemu gani

Hata
baba mungu alipoumba dunia, hakusahau kuweka ile bustani ya Eden,

Patric
Kessy kilimo kwanza kagharamikia shamba lake na Fredito Mopao,

Papa
Musofe unakuja kuvuna Yusuphed, mohamed kilua, Amos Makalla, Side mdoe

ni
nani kakupa idhini ya kuvuna shamba langu eeeeee

Nteze
wa Nteze kibali kakupa nani
wa Nteze kibali kakupa nani
Daudi
Bwelela sehemu isiyohusika wanataka tuishi jangwani

VOCAL:
(Kupaza)
(Kupaza)
Nilishasema
nasisitiza kaza buti mama, kuadi fisadi anazidi kutumwa lengo kutuchanganya mama,
ogopa sana anaye cheza na akili yako mama,

ogopa
sana anaye kunyanganya ulichonacho
mmmmh,
sana anaye kunyanganya ulichonacho
mmmmh,
oooh
mama mama mama mti wetu wanaupopoa,
mama mama mama mti wetu wanaupopoa,
naimani
tukiwa makini tutafika mbali mama ee e e e uuu
tukiwa makini tutafika mbali mama ee e e e uuu
VOCAL:
(Venus)
(Venus)
Malisho
ya wadudu na ndege wa angani, hutegemea mti wenye matunda wale

Asha
Baraka tia mbolea palilia mti umeeee,
Baraka tia mbolea palilia mti umeeee,
Walee
wenye mpango mti udumae usikue usimee, washindwe na walegeeee hee hee hee, ima
bureau, Abdul Tall, Dito Mopao, Daladala camp,

wakutengwa,
Garage Mchangani wakataze wasichomeeee
Garage Mchangani wakataze wasichomeeee
wataniua
njaa Steve jimmy wazee wa muarubaini bravo ooh!
njaa Steve jimmy wazee wa muarubaini bravo ooh!
VOCAL:
(Dogo rama)
(Dogo rama)
Roho
mbaya haifai wamefanya kila mbinu kuteketeza shamba langu ma

ili
mti ufee matunda yasipatikane ng’o, ila wapenda fruit hawawezi kukubali mti
uteketee huku wakionaona mti nyong’onyee mpaka kwenye shina lake, ono no no no
Ismail sota mkude pesa.

(Haji Ramadhani)
(Haji Ramadhani)
Hila
zenu hazijengiiii, zinaongeza chuki majungu fitina vinyongo vyenu

havina
sababu kwetu, Petie Man waulize tumewaudhi nini mbona mwatusakama tumewakosea
nini, mbona mwataka vya wenzenu tengenezeni vyenu,

au
ujuzi mdogo, msione vyaelea jua vimeundwaaaah!
ujuzi mdogo, msione vyaelea jua vimeundwaaaah!
VOCAL:
(Luiser)
(Luiser)
Ni
juhudi zangu
juhudi zangu
ALL:
Zangu
VOCAL:
(Luiser)
(Luiser)
Oooh..Oooh
ni juhudi zangu eeh, wanaona wivu shamba langu latoa matunda kila mwaka, mimi
ni mkulima stadi naalima kwenye udongo wenye rutuba.

Karim
Sospeter, Pascal, Mathew Kiongozi, George Mweisiga, Chiddy Kateta, Deo Muta
aaah palilia shamba shamba langu eeeeh!

Uuuuuuuuh
shamba langu.
shamba langu.
VOCAL:
(Muumin)
(Muumin)
Ukiona
chapendeza jua kimegharamiwa, haraka haraka haina baraka nawahurumiwa wenye
haraka ya mafanikio wanaotaka kuvuna bila ya kulima Baraka Msiilwa na Asha
Baraka wametoka mbali wamefanya kazi kubwa kuliandaa kulilima na kulitunza shamba
hili

Na
ndiyo maana mpaka leo shamba linahimili vishindo

Shamba
la Twanga Pepeta, Shamba la Twanga. Kisima cha burudani Shamba la Twanga
Pepeta, Miaka mia moja

la Twanga
la Twanga