Share this Post

dailyvideo

Just In: Dk.Ulimboka arejea nchini

Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, na kuzungukwa na Madaktari wenzake na wananchi wa kawaida waliofika kumlaki, mara alipowasili mapema leo Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Dk Ulimboka alisema kuwa yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.
Picha na Jiachie blog

Posted by Editor on 16:55. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Just In: Dk.Ulimboka arejea nchini

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery