Share this Post

dailyvideo

Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa mpaka



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda na wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo
 (picha na Freddy Maro).

Posted by Editor on 12:02. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa mpaka

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery