Share this Post

dailyvideo

MFAHAMU MTANZANIA ANAEISHI UJERUMANI PIA NI MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI GODLOVE MULIAHELA.


Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.
 Hapa alikuwa akiimba ndani ya Boti , wakati wa kutengeneza wimbo wake.
Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa.
Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch.
Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting.
Hapa akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani.
Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapa http://www.god-love.de/

Posted by Editor on 11:58. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for MFAHAMU MTANZANIA ANAEISHI UJERUMANI PIA NI MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI GODLOVE MULIAHELA.

  1. Anonymous

    super stolz

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery