Share this Post

dailyvideo

RAIS KIKWETE AHUDHULIA MAZISHI YA RAIS JOHN ATTA MILLS WA GHANA JIJINI ACCRA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Ghana Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo.
Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo.
Jukwaa kuu katika uwanja wa Independende Square wakati wa Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo.
PICHA NA IKULU.

Posted by Editor on 18:55. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for RAIS KIKWETE AHUDHULIA MAZISHI YA RAIS JOHN ATTA MILLS WA GHANA JIJINI ACCRA LEO

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery