Inaonekana imekuwa ni Tabia sasa kwa hawa wasanii wa BONGO: Husna Idd ‘Sajent’ Atoa mpya na Kijivazi cha kuangaza... shuhudia
Huyu ni Husna Idd ‘Sajent’ na ni msanii wa tasnia ambayo tunaiheshimu kama kioo cha jamii......
Kwani ni siku chachetu tokea wasanii wa tasnia hiyo kuleta vioja kama hivi kwa na Husna nae akupenda kuwa nyuma sana katika jambo hilo la kutakakuonyesha umbo lake la ndani.
Ni baada ya kuvaa nguoambayo inaonyesha ndani ya mwili wake(NightDress) kama maziwa wake.Na kuufanya mwili wake kama mauzo mbele ya jamii katika kiwanja iko ambacho alikuwa akifanya starehe siku hiyo na marafiki zake.
Chanzo Chuma Blog..





