Share this Post

dailyvideo

Kwa sasa ndio habari ya mujini; MAKAMUZI YA SKYLIGHT BandI NDANI YA THAI VILAGE, DAR


Gumzo la Jiji; Vijana wa Skylight bendi wakirudisha katika kiota chao cha Thai Village mwishoni  wikendi iliyopita. Bendi hiyo kwa sasa inatoa burudani kila Ijumaa Thai Village jijini Dar.
Vijana wa kazi wakitoa burudani ya kufa mtu...
Sebene likiwa limenoga.
Wanadada wa Skylight bendi Mary na Anneth.
Wadau wakishow love.
Kila mmoja alikuwa na furaha.
Haki Ngowi akiwa na rafiki yake nao waliwakilisha.
Mkurugenzi wa Ndege Insurance na Skylight Entertainment Bw. Sebastian Ndege (kulia) akiwa pamoja na marafiki zake.
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja.
Marafiki wakiselebuka...
Wadau kutoka Clouds Fm nao waliweza kuja kuiunga mkono.
Warembo wakiweka kumbu kumbu.
Aha! wadau wote.
Mwimbaji wa bendi ya Skylidht Sam Machozi akijiachia na mrembo.
Ingizo jipya ndani ya Skylight bendi akitoa burudani.
Marafiki wakiwa katika nyuso za furaha.

Posted by Editor on 09:58. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Kwa sasa ndio habari ya mujini; MAKAMUZI YA SKYLIGHT BandI NDANI YA THAI VILAGE, DAR

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery