Share this Post

dailyvideo

Maalim Gurumo arejea ulingoni na kasi ya ajabu

Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma,Muhidin Gulumo (kushoto) akiimba sambamba na Hassani Moshi 'Tx Jr' wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam usiku huu.Gulumo ni mwanamziki Mkongwe pekee aliyedumu katika Jukwaa kwa mda mrefu hapa nchini ambapo hivi karibuni alikuwa akisumbuliwa na Maradhi lakini kwa sasa karudi ulingoni kukonga mashabiki wa bendi hiyo.msondo kila jumapili inatumbuiza katika ukumbi wa Max Bar.
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani wakati walipokuwa wakitumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam usiku huu,kutoka kushoto ni Muhidini Gulumo,Hassani Moshi na Shabani Dede.
Picha na Michuzi Blog

Posted by Editor on 08:20. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Maalim Gurumo arejea ulingoni na kasi ya ajabu

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery