Share this Post

dailyvideo

SPIKA MAKINDA AZITAKA BALOZI KUITANGAZA TANZANIA KWA MEMA


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akipokelewa na wafanya kazi wa Ubalozi mjini Roma Italia mara baada ya kuwasili ubalozini hapo hivi karibuni.
Msaidizi wa Balozi na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi Bw. Salvatory Mbilinyi akimpa Mhe. Spika taarifa fupi ya Ubalozini hapo.
Wafanyakazi wa Ubalozi wakimsikiliza Spika Makinda alipokuwa akiwaasa kuwa ushirikiano, kufanya kazia kwa bidii na uzalendo kwa nchi yao ni nyenzo kubwa za kuitangaza vema Tanzania.

Posted by Editor on 08:25. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SPIKA MAKINDA AZITAKA BALOZI KUITANGAZA TANZANIA KWA MEMA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery