Share this Post

dailyvideo

Rais Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Kampala, Uganda




Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda.

Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda.  PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete azungumzia juhudi za kupatikana kwa amani ya kudumu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu kilichofanyika Kampala, Uganda, Septemba 8, 2012

Posted by Editor on 08:29. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Rais Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Kampala, Uganda

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery