Mastaa wa Bongo..Aibu Kama alijua kwa nini alivaa hivi?: Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni
“Nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba wanaomba msamaha mashabiki wangu wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana na makosa,” alisema Aunty.






Sio kosa lake,ni ustaa ulio feki,plus hana mshauri.
Swala siyo kuwa hana mshauri...........ni kutotaka kushauriwa!!!