Share this Post

dailyvideo

Mastaa wa Bongo..Aibu Kama alijua kwa nini alivaa hivi?: Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni



“Nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba wanaomba msamaha mashabiki wangu wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana na makosa,” alisema Aunty.

Posted by Editor on 13:46. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

2 comments for Mastaa wa Bongo..Aibu Kama alijua kwa nini alivaa hivi?: Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni

  1. Anonymous

    Sio kosa lake,ni ustaa ulio feki,plus hana mshauri.

  2. Anonymous

    Swala siyo kuwa hana mshauri...........ni kutotaka kushauriwa!!!

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery