Share this Post

dailyvideo

HIVI NDIVYO MWANAMUZIKI WA KAIMATAIFA RICK ROSS ALIVYO TUA JIJINI DAR.


 Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanija wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd,Balozi Kindamba ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika leo.Picha nyingine baadae kidoogo wadau. 
 Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku huu (hawapo pichani) kumlaki
 Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuolekea kwenye hoteli waliopangiwa kufikia usiku huu,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana nao .
 Rick Ross akiingia ndani ya mchuma.
Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini.
Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.

Posted by Editor on 09:05. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HIVI NDIVYO MWANAMUZIKI WA KAIMATAIFA RICK ROSS ALIVYO TUA JIJINI DAR.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery