JK aongoza mkutano wa Wafanyabishara wa Oman na Tanzania jijini Muscat
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabiashara wa Oman na Tanzania wakati wa mkutano malum wa uwekezaji aliouandaa kwaajili ya kuelezea fursa za uwekezaji nchini.Mkutano huo wa uwekezaji ulofanyika jijini Muscat Oman ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda ,Wziri wa Kazi,Ushirika na Uwezeshaji kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na maofika wangazi za juu wa Oman na Tanzania waliohudhuria mkutano maalum wa uwekezaji uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan jijini Muscat Oman leo.
Picha na Freddy Maro.
.jpg)




