Share this Post

dailyvideo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Watanzania nchini Uingereza

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini uingereza jijini London Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu wakiwa  na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Posted by Editor on 18:11. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Watanzania nchini Uingereza

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery