Kutoka Wizara ya Fedha:Balozi wa Tanzania nchini Japani akaribisha Ujumbe kutoka Tanzania waliohudhuria mikutano ya IMF na WB Jijini Tokyo- Japan
Mhe.
Balozi Salome sijaona akiwapokea wajumbe waliokuwa wakihudhuria
mikutano ya IMF na WB hapa nyumbani kwake kwenye ubalozi wa Tanzani (
Tanzania House) kwa chakula cha jioni alichowaandalia.
Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe. Salome Sijaona akimkaribisha rasmi
Waziri wa Fedha pamoja na ujumbe kutoka Tanzania kwa chakula cha usiku.
kutoka kulia ni Mhe. William Mgimwa Waziri wa Fedha akifuatiwa na
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omary Yusuph Mzee akifuatiwa na
Bw.Selivicius Likwilile Naibu Katibu Mkuu Wizara na Fedha na wengineo ni
viongozi waliohudhuria hafla hiyo Jijini Tokyo – Japan.
Wajumbe
wa mkutano wa IMF na WB wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini Japan
Mhe. Salome Sijaona alipokuwa anatoa historia fupi ya ubalozi wa
Tanzania.
Mhe. William Mgimwa akimshuku Mhe. Balozi Salome Sijaona pamoja na mme
wake Mzee Sijaona aliyekulia kwa Mhe. Balozi Salome Sijaona kwa mwaliko
wa chakula cha usiku
Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe. Salome Sijaona akimwelezea Waziri
wafedha Mhe William Mgimwa mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika
katika Balozi zetu.
Mhe. Balozi Salome Sijaona akimweleza Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi.
Ingiahedi Mduma juu ya umuhimu wa Mawasiliano Serikalini.
Wajumbe kutoka Tanzania wakishiriki chakula cha jioni pamoja na Balozi Mhe. Salome sijaona.
Afisa wa ubalozi Bi Agnes akiwakaribisha wageni chakula cha usiku hapa ubalozini jijini Tokyo Japan.
Wajumbe
wa mkutano wa IMF na WB wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini Japan
Mhe. Salome Sijaona alipokuwa anatoa historia fupi ya ubalozi wa
Tanzania.
Wajumbe
kutoka Tanzania waliohudhuria mikutano ya IMF na WB Jijini Tokyo- Japan
wakiwa katika mwaliko rasmi wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na
Mhe. Balozi Salome Sijaona katika ubalozi wa Tanzania. Kutoka kilia ni
Kamishna wa Bajeti Bi. Monica Mwamunyange, katikati ni Mhasibu Mkuu wa
Serikali Bi. Mwanaidi Mtanda na wakushoto ni Kamishna wa sera Bw. Bedason Shallanda, wakimsikilisa
kwa makini Balozi, hayupo kwenye picha.Picha na Scola Malinga




