KING CLASS MAWE AJIFUA KUMKABILI JONAS SEGU
Kocha wa mchezo wa Ngumi,Habibu Kinyogoli (kulia) akimfua bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ikiwa ni maandalizo ya mpambano wake dhidi ya Jonas Segu utakaofanyika October 14 Katika ukumbi wa Friends Corne,Manzese jijini Dar.




