Share this Post

dailyvideo

MWENDELEZO WA MAONYESHO YA TIGO CIRCUS MAMA AFRICA KATIKA UKUMBI WA MANCOM CENTRE – NEW WORLD CINEMA.


Mabinti warembo wa kundi la Tigo Circus Mama Africa wakionyesha umahiri wao wakurushiana vikapu kwa kutumia miguu. Wazazi msisahau kupeleka watoto wenu siku za Wikiendi nao waweze kuburudika na michezo mbalimbali.

Pichani Juu na Chini ni michezo mbalimbali ya Sarakasi.

 Msanii Bongo Mtshali (katikati) kutoka Afrika Kusini akitoa burudani ya kufunga shoo na  kundi la Tigo Circus Mama Africa katika Ukumbi wa Mancom Centre uliopo ndani ya New World Cinema jijini Dar.

 Asante kwa kuja na karibuni tena na tena. Maonyesho ya Tigo Circus Mama Africa yanaonyeshwa Jumatano- Jumapili Saa 8pm na Ijumaa- Jumapili kuanzia Saa 3:30 pm na kuendelea pamoja na burudani kutoka kwa In Afrika Band.

Watazamaji wakipiga makofi.

Posted by Editor on 18:57. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MWENDELEZO WA MAONYESHO YA TIGO CIRCUS MAMA AFRICA KATIKA UKUMBI WA MANCOM CENTRE – NEW WORLD CINEMA.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery