Matina Nkurlu & Rachel Sindbard wameremeta mwishoni mwa wiki
Matina Nkurlu akisaini cheti cha ndoa yao huku mke wake akihakiki kweli mumewe anaweka siani ya siku zote
Mchungaji nae alimwaga wino akishuhudiwa na wapambeDeus Ntukamazina na Noela Ntukamazina
Matina & Rachel wakitoka kanisani mara baada ya kufungwa kwa ndoa katika kanisa la KKT Mbezi Beach.
.Picha ya pamoja mara baada ya kufungwa ndoa
Wakielekea Kanisani.
Bi.Harusi akiwa na shemeji yake Masala mwenye miwani na wifi yake Nzigia
Wakiwa kwa picha ya pamoja na maids wao…imetokelezea
Jamani rahaaaaa…hahahahahaha














