Waziri Wa Fedha Aendelea Na Ziara
Waziri wa fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na maongezi ya uwekezaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard. (Standard Bank) hapa jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na Makamu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedhana maendeleo ya uchumi, Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakibadilishana mawazo kuhusu maendeleo ya nchi zao hizo mbili hapa Jijini – Japan – Tokyo.
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na wajumbe kutoka nchi Mauritius kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Maendeleo ya uchumi, Bw. Ali Mansoor akifuatiwa na Makamu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha na Maendeleo ya uchumi , Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakielezana juu ya maendeleo kati ya nchi hizi mbili Jijini – Japan - Tokyo
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akimpokea Waziri wa fedha wa Kenya Bw. Robinson Githae tayari kwa kikao chao kinachohusu mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia ni waziri wa Fedha wa Rwanda.
Picha na Ingiahedi Mduma na Scola Malinga Jijini Tokyo - Japan




