Is Murder Inc back? Tarehe ya kuachiwa huru Ja-Rule yawekwa wazi..
![]() |
| Ja Rule (wa pili kulia) akiwa jela hivi karibuni |
Rapper mwenye deep voice Ja-Rule anaweza kuachiwa huru mapema February mwakani baada ya kutumikia kifungo cha miaka miwili kwa kupatikana na hatia ya kumiliki silaha kinyume cha sheria.
‘The Thug Loving hit maker’ anatarajiwa kuwaaga members wenzake wa cell yake miezi mitatu ijayo, ripoti hizi zimetolewa kupitia site yake ambapo zimetoa pia picha zake za hivi karibuni akiwa behind bars na anaonekana kama alikuwa anapiga gym sana akiwa jela!
Jeffrey Atkins a.k.a Ja Rule japokuwa anasubiri kuachiwa huru February mwakani anajiandaa kudondosha album yake mpya “Pain is Love 2” mwezi huu.
December mwaka jana Ja Rule aliandika barua akielezea maisha yake ya jela na mengi aliyokutana nayo tangu day one alipoyaaga maisha ya uhuru. Hii hapa barua ya Ja Rule:
"My first n*ght here was crazy inmates screaming, banging, and kicking the doors calling the male CO's b*tch a** n*ggas & f*ggots telling the female CO's how they gonna f*ck em, throwing plates of food out their cells onto the floor LOL. WELCOME TO THE GREEN MONSTER! This type of sh*t would never happen upstate at best you'd be in the box for a month at worst the infirmary. I even got into it wit these stupid n*ggas trying to assassinate my character talkin about I'm snitching to the guards and that I'm getting special treatment. I barked on these n*ggas and set em straight cause as a man there's only so much you can take before you snap. At first I tried to ignore there lil comments until they started talkin sh*t like they gonna kick my door and all this clown sh*t. But the funny thing is when I started screaming on them lettin them know they got the wrong n*gga they got excited it was like that's what they wanted to bring the hood out of me. That's when I realized that I'm dealing wit kids they can't be n*ggas my age cause that would've lead to instant confrontation not instant admiration."
Baada ya hii barua Ja Rule aliandika tena barua nyingine akielezea jinsi ambavyo mfungwa mwenzake alijaribu kujiua, na kwamba japokuwa aliwahi kushuhudia mtu akipigwa risasi, na pia aliwahi kushuhudia mtu akifa kwa sababu ya kuzidisha madawa ya kulevya uraiani, hii ilikuwa tofauti kabisa kwake hakuwahi kuona mtu akijaribu kujitoa roho.
Je inawezekana ujio wa Ja Rule ukawa na nguvu ya kuirudisha Murder Inc ama The Inc hewani kwa nguvu? Lakini Ja Rule atakuta mabadiliko kadhaa uraiani ikiwa ni pamoja na rafiki yake Fat Joe kuwa mshikaji wa hasimu wao wa zamani 50 Cent, may be na yeye atakubali yaishe ama niaje, let’s wait and see hiyo February.
Chanzo Leo Tainment





