RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KAMPALA,UGANDA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo(DRC) muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano maalum wa tano wa wakuu wan chi za Maziwa makuu uliofanyika katika hoteli ya Speke Resort nje kidogo ya jiji la Kampala,Uganda jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi wa Afrika ya Kusini Bi.Mapisa Nqakula wakati wa mkutano wa wakuu wa chi za Maziwa Makuu(ICGLR) uliofayika jijijni Kampala Uganda jana.Katikati ni mwenyeji Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
(picha na Freddy Maro).
(picha na Freddy Maro).






