Share this Post

dailyvideo

WAKALI WA MICHANO ILALA WATINGISHA DAR LIVE, MBAGALA


Mmoja wa washindani, Halid Salim, akikamua.
Baraka Daniel akichana mashairi.
...Shindano likiwa limepamba moto.
Washindani wakiwapamoja kabla ya shindano.
Majaji wa shindano (toka kushoto) Abadalah Mrisho, DJ John Dilinga na Ally Baucha.
Hawa ndiyo tano bora.
Waimbaji wa Twanga Pepeta Salehe Kupaza (kulia) na Dogo Rama wakiwapa burudani mashabiki.
Kimwana, Nadya Charles wa kundi la Shani Stars akitoa burudani ya nguvu.
SHINDANO la Mkali wa Michano (The Mic King) vijana wa wilaya ya Illala lililofanyika jana Jumapili ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam, lilikuwa la aina yake.
Shindano hilo lililoshirikisha vijana kumi lilisindikizwa na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga
Pepeta’ na kuwapa wakati mgumu majaji kuwachagua watakaoingia katika tano bora. Picha na Issa Mnally/GPL

Posted by Editor on 17:26. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WAKALI WA MICHANO ILALA WATINGISHA DAR LIVE, MBAGALA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery