Share this Post

dailyvideo

Timu ya Taifa ya Zambia Yatua Nchini Kukipiga na Taifa Stars

 Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Afrika, Christopher Katongo
 Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Afrika, Christopher Katongo, ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Zambia (kushoto), akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam, tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars, utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Desema 22.
 Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambi wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.Picha na Mdau Dande Francis

Posted by Editor on 13:35. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Timu ya Taifa ya Zambia Yatua Nchini Kukipiga na Taifa Stars

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery