Share this Post

dailyvideo

WATANZANIA KATIKA MAONESHO YA NGUVU KAZI BUJUMBURA NCHINI BURUNDI


Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. James Mwasi Nzagi akiangalia bidhaa za mjasiriamali wa Tanzania alipotembelea banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.
Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara, Viwanda, Posta na Utalii nchini Burundi, Bibi Patricia Rwimo akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.
Maofisa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi.

Posted by Editor on 11:19. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WATANZANIA KATIKA MAONESHO YA NGUVU KAZI BUJUMBURA NCHINI BURUNDI

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery