Share this Post

dailyvideo

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA WAWASILI JIJINI DAR , NA KUPELEKWA MUHIMBILI KUHIFADHIWA




UPDATES MSIBA WA MANGWEA: MWILI UMEWASILI UWANJA WA NDEGE MWL. NYERERE

Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiKa msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius 
 











Pichani ni baadhi ya Watanzania wakiusubiria mwili wa marehemu Albert mangwair kuwasili uwanja wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.


Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa nyimbo za marehemu Albert Mangwair wakilia kwa uchungu Airport jijini Dar es salaam baada ya mwili wa kipenzi cha watu kuwasili


Mmoja wa marafiki na msanii Mangwair Banana Zorro akihojiwa na mwandishi wa habari wakati wakiusubiria mwili wa marehemu huyo


PICHA NA KILIMANJARO BLOG
 

Posted by Editor on 15:51. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA WAWASILI JIJINI DAR , NA KUPELEKWA MUHIMBILI KUHIFADHIWA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery