Share this Post

dailyvideo

NEWS ALERT: OKWI AJIANDAA KUJIUNGA NA KIKOSI CHA SIMBA .

 Emmanuel Okwi  Jumamosi iliyopita alionekana uwanja wa Taifa akiwa na Baadhi ya viongozi na Mashabiki wa  timu ya Simba ambayo ilikuwa inacheza na Mbeya City
Emmanuel Okwi akitoa alama ya dole gumba kwa mashabiki wakati wa mechi kati ya Simba na Mbeya city Fc
 Emmanuel Okwi  akiwa na mashabiki


 Habari zilizo chini ya kapeti kwa mashabiki wa soka nchini ni kuwa klabu ya Simba inajiandaa kumrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani Emmanuel Okwi alieuzwa kwa klabu ya Etoile du Sahel ya nchini Tunisia. Taarifa zinasema kuwa Etoile haijatimiza makubaliano yake na Simba ambayo ilikuwa ni kuilipa klabu hiyo dola 300,000 na hadi sasa malipo hayo hayajafanyika. Emmanuel Okwi tayari ametua jijini Dar es Salaam.

Posted by Editor on 10:16. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NEWS ALERT: OKWI AJIANDAA KUJIUNGA NA KIKOSI CHA SIMBA .

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery