Share this Post

dailyvideo

PICHA I: LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA SIMBA



 Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City FC wakiwa wana moto wa kuja kutazama Mechi ya Mbeya City na Simba, Ambapo mashabiki hao wamefunga safari kutoka Mbeya kuja kushuhudia Mechi.

 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanavuka Barabara Kuelekea uwanjani
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Uwanja wa Taifa
 Baadhi ya Mashabiki wakiwa wanajiandaa kuingia uwanjani kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City 
 Mashabiki wakiwa wanaingia katika uwanja wa Taifa kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City
 Hizi ni baadhi ya Tshirt ambazo zinauzwa za Timu ya Simba 
 Mmoja ya Mashabiki wakiwa ameshikilia Tiketi yake tayari kuingia uwanjani
 Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
 Mashabiki wa Simba wakiwa Tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
Hapa Ubao wa Kidijitali kwa ajili ya kuoneshea magoli bado haujawashwa ......


Endelea kufuatilia Hapa hapa Bila kutoka........ Tukio zima ni Live

Posted by Editor on 15:32. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for PICHA I: LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA SIMBA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery