Share this Post

dailyvideo

BREAKING NEWS! JERRY ISAAC MRUMA AMEFARIKI DUNIA



 JERRY ISAAC MRUMA

Picture: Jerry Isaac Mruma


Jerry Isaac Mruma, 23.
Jerry Isaac Mruma is a Tanzanian USIU-Africa Student (in Kenya) who went missing on Saturday night. (You may click here to watch him in this video)

Jerry had left the Tanzania Night at Pan Afrique Hotel and spoke to his friend Ogwellah at around 11:40PM

Another friend tells that Jerry had called her to inform her that he
was on his way home. Unfortunately, he never got there. She has not  heard nor seen Jerry since Saturday and calls to his phone aren't going through. She has filed a report with the Police for missing persons. 

Habari zilizotufikia bloggs hii zinasema kwamba Jerry Isaac Mruma amefariki dunia huko mjini Nairobi baada ya kunyongwa.

Kwa mujibu wa taarifa za awali kijana huyo alipotea toka Jumamosi alipokuwa akitoka disko na baada ya kuongea na rafiki yake kwa njia ya simu ya mkononi alimjulisha kuwa yupo njiani kuelekea nyumbani hakufanikiwa kufika.

Mpaka jana Jerry alikuwa bado hajulikani alipo.

Tutaendelea kuwajuza zaidi kuhusu msiba huu wa rafiki, ndugu na Kaka yetu Isaac Mruma, Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA). 

  Chanzo: Robert Okanda Blog
















Posted by Editor on 11:23. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for BREAKING NEWS! JERRY ISAAC MRUMA AMEFARIKI DUNIA

  1. Anonymous

    Jerry alipendwa na wengi kama mtu mchesho na mwenye roho nzuri, you didnt have to say alinyongwa, we would rather remember him by how he lived and not how h le was taken away from us.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery