Share this Post

dailyvideo

HII NAYO KALI: Mwanamuziki mkongwe Chris Brown amesema marijuana ndicho kitu kikubwa kinacho msaidia kumpunguzia Njaa.


Baada ya ushahidi kukamilika na kumtaka  mwanamuziki mkongwe
Chris Brown kuonesha vipimo vyake kutoka hospitali juu ya kuthibitisha kuwa anatumia madawa ya kulevya  Chris Brown asema anaomba aruhusiwe kuendelea kutumia Marijuana kwa sababu yanamsaidia kupunguza njaa, na pia yanaruhusiwa kisheria huko Carfornia.
Medicinal use: Singer Chris Brown, seen here arriving at a Los Angeles court for a probation review hearing on Wednesday, says he should be able to use medical marijuana to help him with his anger
  Chris Brown  akiwa anawasili katika mahakama mojawapo huko Los Angeles , kwa utetezi wake na kuomba kwama anatakiwa aruhusiwe tuu kutumia kilevi hicho kwani ndicho pekee kinampunguzia njaa.

Prescribed meds: The 24-year-old said the anti-depressants he is taking make him feel dull and thirsty
Prescribed meds: The 24-year-old said the anti-depressants he is taking make him feel dull and thirsty
  Chris Brown ambaye ana umri wa miaka 24 akiwa katika ulinzi mkali
]

The right path: Sources told Radaronline that Chris believes medical marijuana will help him put his life back on the right track
  Chris Brown akiongea na waandishi wa habari na kuthibitisha huku akisisitiza kuwa hawezi acha kutumia marijuana kwa sababu inamsaidia sana katika kupunguza njaa yake

Back to rehab: A judge ordered Chris on Wednesday to serve three months in a residential treatment facility and submit to drug testing
  Chris Brown akiendelea kuongea na waandishi wa habari

Community service: The judge also ordered the R&B singer to perform at least 24 hours of community labor per week
 Jaji akiwa anatoa Maamuzi magumu kwa Chris Brown kuwa anatakiwa awe na muda maalum wa kufanya matamasha , pia anatakiwa achunguzwe tena afya yake na nyumbani kwake zoezi ambalo litachukua miezi 3


Violent behavior: Chris reportedly became violent during a family session with his mom, throwing a rock through her car window
Kesi inaendelea
Picha zote na Daily Mail, Maelezo na This day magazine














Posted by Editor on 10:45. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HII NAYO KALI: Mwanamuziki mkongwe Chris Brown amesema marijuana ndicho kitu kikubwa kinacho msaidia kumpunguzia Njaa.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery