MAKUBWA HAYA HII IMETOKEA MAPEMA LEO: WATOTO WATATU WAOKOLEWA NI BAADA YA KUFANYWA WAFUNGWA NA WAZAZI WAO KWA MIAKA MIWILI BILA KUTOKA NJE, KUOGA NA KULA MLO MMOJA KWA SIKU.
Katika hali isiyo ya kawaida na yakusikitisha sana watoto watatu wamekutwa wakiwa wamefungiwa chumbani kwa muda wa miaka watatu chumbani bila kutoka nje na walikuwa hawaruhusiwi kuoga..
Watoto hao.. Sophia , Fernando na Richter walikamatwa na kutekwa wazazi wao na kufungiwa chumbani humo huku wakiwa chini ya ulinzi na kupata vitisho vikali ikiwemo kutishiwa kuuawa na visu. Lilieleza gazeti la Daily mail mtandaoni.
Wasichana hao wenye umri kati ya 12, 13,17 walikubali kwamba hawakuweza kuonana kwa kipindi cha miaka miwili wakati walikuwa wametekwa katika nyumba moja.
Hata hivyo baba wa kambo wa watoto hao anashikiliwa na polisi kwa kosa la pili la kuwabaka watoto hao wakiwa na umri mdogo..
Polisi akiwa anachukua ushahidi kuonesha kuwa ni kweli mabinti hao watatu walikuwa wametekwa
Mama wa watoto hao na baba ya wa kambo wakiwa wanapelekwa polisi baada ya kutiwa kizuizini
Hii ndiyo nyumba ambamo mabinti hawa walikuwa wamefichwa kwa miaka miwili wakiwa wamefungiwa vyumbani , wakila mlo mmoja na kuto ruhusiwa kuoga.
Hapa ilikuwa ni Baada ya mabinti wawili kufanikiwa kukimbilia kuomba msaada nyumba ya oili ndipo yule binti wa tatu aliokolewa baada ya wale wengine kusema mahali alipo nduguyao.
Jambo la kushangaza sana majirani walikuwa hawajui kabisa kama kulikuwa na watoto wametekwa katika Jengo lile.




