Mastaa wa Dunia: Oprah Winfrey apata chakula cha usiku na Mchumba wake Stedman Graham ambao wamevishana pete za uchumba miaka 21 iliyopita
Hawa wachumba wawili wamevalishana Pete Miaka 21 iliyopita,
Oprah Winfrey na Mchumba wake Stedman Graham wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa chakula hicho cha usiku..
Hapa wamependeza sana wapenzi ni wapenzi tuu , full kujimwaga
Oprah Winfrey akiwa anafurahi na kuzungumza jambo wakati wa chakula hicho cha usiku
Oprah Winfrey akiwa na mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama wakati wa chakula hicho cha usiku
Oprah Winfrey alivalishwa pete ya uchumba na Stedman Graham miaka 21 iliyopita , na bado wanaishi safi kabisa.




