INASIKITISHA: WATOTO WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO NA WENGINE 3 WAPONA NI BAADA YA MAMA YAO KUENDESHA GARI HADI KULIZAMISHA KATIKA ZIWA.
Marian Guerrido, 23 aliyefanikiwa kutoka baada ya Gari hilo kukwama ziwani
Marehemu Zenavia Rennie, 5 wakati wa uhai wake
Marehemu Alarious M. Coleman-Guerrido, 7 wakati wa uhai wake
Polisi akiwa anatazama jinsi ajali hiyo ilivyo tokea
Polisi wakithibitisha kuwa ni kweli kulikuwa na watoto watano kati yao walifariki muda wa dakika 20 baada ya ajali kutokea
Hapa kulikuwa na mkanganyiko Dereva alikuwa hajulikani kama anamahusiano yoyote na alio wabeba hadi Familia ilipo wasili ndipo waligundua.
Watoto hawakuweza kujiokoa wenyewe kutoka katika gari hilo hadi Polisi walipo wasili eneo la tukio.
Picha na Daily Mail, Maelezo na This day magazine.



